SWAHILI LANGUAGE AND CULTURE COURSES ONLINE

 

KARIBU DARASANI! 

Would you like to learn Swahili for work, academic studies, NGO programme, travelling or simply for your own cultural curiosity…. Here, you can find the Swahili language and culture course entirely customized according to your own personal needs. 

If you wish to learn not only Swahili language but also its literature and culture, you will find a teacher with experience both in the academic environment and in the field in Tanzania.

My Swahili courses are delivered 100% online using Skype (or Zoom) in world time flexibility and at your own pace for individual or small groups (2 to 4 people) through either intensive or extensive programmes. The delivery language of my Swahili courses can be either in English, Italian and Swahili for beginners and only in Swahili from the intermediate level up. 

The innovative and effective method of my course is entirely designed to fit you, the structured programme is continuously integrated on demand to meet your own interests, necessity and aptitude from the first trial lesson. The courses are divided into two main sections: grammar acquisition (maelezo ya sarufi) and the practice of the four skills: listening (kusikiliza), speaking (kuzungumza), reading (kusoma) and writing (kuandika), with a particular focus on communication abilities (mkabala wa mawasiliano). 

If you are a beginner, it is highly recommended to select a basic package of at least 10 hours of teaching to provide you with the essential basis of Swahili language! At the end of this first 10-hour package, you will be taught the noun classes (ngeli za nomino), the affirmative and negative tenses in the present, past and future as well as pronouns and adjectives. In addition to this, you will know the numbers, time and date in Swahili, and you will be able to deal at least with the following situations: greetings- salamu; introduce yourself-kujitambulisha; and at the shop, at the market and at the restaurant/hotel- sokoni, dukani, hotelini

 

Book your trial lesson completing the online form now!

 

 

 

 

 

CORSI DI LINGUA E CULTURA SWAHILI ONLINE

 

KARIBU DARASANI! 

Ti piacerebbe imparare il swahili per lavoro, studi accademici, volontariato, viaggi o semplicemente per la tua curiosità culturale…. In questo sito puoi trovare il corso di lingua e cultura swahili interamente personalizzato in base alle tue esigenze personali.

Se desideri imparare non solo la lingua swahili ma anche la sua letteratura e cultura, troverai un insegnante con esperienza maturata sia in ambito accademico che sul campo in Tanzania.

I miei corsi di swahili vengono erogati al 100% online utilizzando Skype (o Zoom) nella più assoluta flessibilità di tempo e spazio internazionale, in base al tuo ritmo personale, per singoli o piccoli gruppi (da 2 a 4 persone) attraverso programmi intensivi o estensivi. La lingua di erogazione dei miei corsi di swahili può essere in inglese o italiano per i principianti, e solo in swahili dal livello intermedio in su.

Il metodo innovativo ed efficace del mio corso è interamente progettato su misura per te,  la struttura del programma è continuamente integrata su richiesta per soddisfare i tuoi interessi, necessità e attitudini sin dalla prima lezione di prova. I corsi sono suddivisi in due sezioni principali: l'acquisizione della grammatica (maelezo ya sarufi) e la pratica delle quattro abilità: ascolto (kusikiliza), conversazione (kuzungumza), lettura (kusoma) e scrittura (kuandika), con particolare attenzione alla comunicazione (mkabala wa mawasiliano).

Se sei principiante, si consiglia vivamente di selezionare un pacchetto base di almeno 10 ore di insegnamento per fornirti le basi essenziali della lingua swahili!

Alla fine di questo primo pacchetto di 10 ore, ti saranno state spiegate le classi nominali (ngeli za nomino), i tempi affermativi e negativi nel presente, passato e futuro, nonché i pronomi e gli aggettivi. Inoltre avrai imparato i numeri, l'ora e la data in swahili e sarai in grado di affrontare almeno le seguenti situazioni: saluti-salamu; presentanti-kujitambulisha; al negozio, al mercato e al ristorante/hotel-sokoni, dukani, hotelini.

 

Prenota subito la tua lezione di prova compilando il form online!

 

 

 

 

 

KOZI ZA KISWAHILI LUGHA NA UTAMADUNI MTANDAONI

KARIBU DARASANI! 

Je, ungependa kujifunza Kiswahili kwa  ajili ya kazi yako, masomo, kazi za asasi, kusafiri au kwa kutamani kujifunza utamaduni mpya? ….  Sasa unaweza kupata kozi ya kiswahili na utamaduni ambayo imeboreshwa kwa matakwa yako.

Ikiwa si tu unataka kujifunza lugha ya Kiswahili, bali fasihi na utamaduni pia,  utampata mwalimu aliye na uzoefu katika nyanja zote za kimazingira ya kitaaluma na ya Tanzania.

Masomo yangu ya Kiswahili yanatolewa kwa asilimia 100 kwa njia ya mtandao kama Skype (au Zoom) kwa kuzingatia utofauti uliopo kati ya nchi duniani kote na kwa kasi yako ya kujifunza, kwa mtu mmoja au kundi la watu (watu 2 mpaka 4), kwa kozi za mfululizo au za baadhi ya siku. Lugha yangu ya kufundishia inaweza kuwa Kiingereza, kiitaliano na Kiswahili kwa watu wanaoanza tu, na natumia  lugha ya Kiswahili kufundishia kwa  watu ambao wameshaweza kuongea  Kiswahili, yaani kuazia daraja la kati kwenda juu.

Mbinu zangu za kibunifu ni bora na zimeundwa ili kuendana na wewe, na kuweza kukidhi mahitaji ambayo unayatarajia kuanzia kwenye darasa lako la mwanzo la majaribio.

Kozi imegawanyika katika sehemu kuu mbili: maelezo ya sarufi na kufanyia mazoezi ya vipenpengele vinne: kusikiliza ,kuzungumza,kusoma na kuandika kwa kuzingatia mkabala wa mawasiliano.

Kama upo daraja la mwanzo , inashauriwa kuchagua kifurushi cha mwanzo cha angalau saa 10 ili kuweza kupata uelewa wa mwanzo wa lugha ya Kiswahili. Mwisho mwa hizo saa 10, unafundishwa ngeli za nomino, nyakati kwa kawaida na kanushi zake katika wakati uliopo,uliopita na ujao ikiwemo pia na viwakilishi  na vivumishi . Zaidi ya hayo pia utaweza kujua namba, muda na tarehe katika Kiswahili na utaweza angalau kukabidhi yafuatayo: kusalimia, kujitambulisha, kuwasiliana  dukani, sokoni na mgahawani

 

Weka oda yako ya darasa la  majaribio sasa hivi kwa kujaza fomu mtandaoni!